MAGONJWA YANAYOTIBIKA KUPITIA KITUNGUU SWAUMU.
1. Huyeyusha mafuta mwilini (kolestro).
2. Husafisha njia ya mkojo na kutibu U.T.I.
3. Hutibu amoeba, minyoo na Bakteria wengine
4. Huzuia kuhara damu (Dysentery).
5. Huondoa Gesi tumboni.
6. Hutibu msokoto wa tumbo.
7. Hutibu Typhoid.
8. Huondoa mabaka mabaka kwenye ngozi.
9. Hutibu mafua na malaria.
10. Hutibu kifua kikuu (ukitumia kitunguu swaumu kesho yake unaweza kutokwa na makohozi mengi tu ambayo ni ishara kwamba kweli kinatibu kifua kikuu (TB).
11. Hutibu kipindupindu.
12. Hutibu upele.
13. Huvunjavunja mawe katika figo.
14. Hutibu mba kichwani.
15. Huupa nguvu ubongo. Kazi nzuri
niliyopenda zaidi katika kitunguu swaumu.
16. Huzuia meno kung’ooka na kutuliza maumivu.
17. Huongeza SANA nguvu za kiume pia hutibu uanithi (kushindwa kusimama kabisa uume).
18. Hutibu maumivu ya kichwa.
19. Hutibu kizunguzungu.
20. Hutibu shinikizo la juu la damu.
21. Huzuia saratani/kansa.
22. Hutibu maumivu ya jongo/gout.
23. Huuongezea nguvu mfumo wa
mmeng’enyo wa chakula.
24. Huongeza hamu ya kula.
25. Huzuia damu kuganda.
26. Husaidia kutibu kisukari.
27. Husaidia kutibu tatizo la kukosa usingizi (ni kweli, na ni moja ya kazi nyingine ya kitunguu swaumu iliyonishangaza zaidi) pia kinaondoa msongo wa mawazo/stress na kukufanya uishi miaka mingi.
28. Huongeza SANA kinga ya mwili na kwa muda mfupi, kijaribu na ulete majibu.
FAIDA ZA KITUNGUU SWAUMU KATIKA MWILI WA BINADAMU.
Vina uwezo wa kusababisha kutanuka kwa mishipa ya damu (vasodilation) kwa kubadilisha polysulfides zilizopo ndani yake kuwa hydrogen sulfides kwenye seli nyekundu za damu.
Husaidia uthibiti wa kiwango cha sukari mwilini kwa kushusha kiwango cha kemikali ya homocystine na kupunguza madhara ya kisukari.
Iwapo vitapondwa pondwa vizuri, vitunguu swaumu hutoa kemikali iitwayo Allicin ambayo ni dawa dhidi ya bateria, na phytoncide ambayo huua fangasi wa aina mbalimbali.
Harufu mbaya ya kitunguuu swaumu hutokana na gesi aina ya hydrogen sulfide ambayo hutolewa baada ya kuvila.
kitunguu swaumu kinaweza kuwa na faida nyingi zaidi ya hizi lakini bado nakushauri utumie kiasi kidogo (punje 6 tu) kila siku kwa kipindi kirefu wiki 2 au 3 hata mwezi ili uone faida ZAID
0 Comments